😂🤣😂😂Hahahaaa! Kwa namna matokeo yalivyokuwa ndo hata salamu yangu sikuipata tena Mtani. 😂😂
Pumbafuuuuu
Asante mtani...nilikua kijijini kwa ajili ya pasaka now nipo mjini...
Nawaona fainali 😎Asante mtani...nilikua kijijini kwa ajili ya pasaka now nipo mjini...
###HATUISHII HAPAAA##
Hakika mtani...Nawaona fainali 😎
Nimekukosa sanaAhsante Mtani.
Vipi mpaka hapa una lipi la kuniambia? 😃
kushinda maana yake nini mkuu? Maana yake akivuka hatua ya nusu kwenda final mkuu!Ona roho mbaya yako inavyokudharirisha. Soma tena ulichoandika,
Ulifanyia kazi Mwakakikundi?