FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Haijaisha mpaka iishe.
Bado tuna jambo la kufanya kabla kuyafikia malengo ya fainali.
 
Ndio maana tukawachia waarabu, naona nyie mnaruka mpaka mnapakwa wese na mwamposa asee😂😂.
Kwamba mmepanda ndege kwenda uarabuni kuwaachia kombe waarabu? Hebu weka hapa taarifa iliyotolewa na rais wa 🐸🐸 kuthibitisha kwamba 'wamewaachia waarabu'
 
Kile kibonde Cs Constantine kinapelekewa moto hapa na berkane kishasokomezwa chuma 2 ndani ya dk 20🤣🤣
 
Kwa timu ipi? Mnaenda kukandwa vizuri, mrudi kucheza na Namungo.
Kijana naona umeshasahau namungo tumeshamalizana nao, sasa hivi timu pekee za kutusumbua kwenye crdb na nbcpl ni singida na jkt tu hakuna nyingine, tukimalizana na hao ubingwa ni wetu asubuhi na mapema tu
 
Simba bora mtoke mapema tu, hawa berkane aisee ni motoo yanii fireeee
 
Kijana naona umeshasahau namungo tumeshamalizana nao, sasa hivi timu pekee za kutusumbua kwenye crdb na nbcpl ni singida na jkt tu hakuna nyingine, tukimalizana na hao ubingwa ni wetu asubuhi na mapema tu
Sijataja Namungo kama mna gemu nao, nimeitaja kwa maana ya kuwa mnarudi kwenye local ligi.
 
Kijana naona umeshasahau namungo tumeshamalizana nao, sasa hivi timu pekee za kutusumbua kwenye crdb na nbcpl ni singida na jkt tu hakuna nyingine, tukimalizana na hao ubingwa ni wetu asubuhi na mapema tu
😂😂🤣🤣
Shangilia kombe lenu la shirikisho

Sisi tupo shirikisho la kimataifa
 
Em jibu bhana, acha kuvunga Lol
Snaptik.app_728680228240499021311.jpg
 
Back
Top Bottom