Tanzania hakuna timu inayoshiriki klanbu bingwa ya CAF. Azam na Yanga zilitolewa zamani sanaUnafananisha Club Bingwa na huu utoto?
Inauma kwa kweliIla Ahoua yani pale amekosa??
Umbumbugoli la wazi
Hata 3 zilikuwepoHii nafasi ya Ahoua mtaiota leo,hii mechi ilikuwa mnaimaliza hapa.
Daaaaah huyu jamaa katuongezea mzigo mkubwa 2nd leg.Inauma kwa kweli
Simba na MC Alger ni timu rafiki!Poor Simba! Naiona sababu yakutoka nduki March 8