uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Hii inaitwa mwana mkanye mwanaoLabda kombe la kahawa
Hii inaitwa mwana mkanye mwanaoLabda kombe la kahawa
Na goli lenu la refa refaMc Alger ?
Mnapelekewa kuni za motoHii inaitwa mwana mkanye mwanao
Hii tuiunganishe CAS pamoja na ile ya ligiNa goli lenu la refa refa
Bado mnakandwa hata akiingia Fadlu Davis mnakandwa tuToa mukwala weka Ateba na yeye ajaribu
Goli la refa nalo goliHii tuiunganishe CAS pamoja na ile ya ligi
😄😃😆😀Hii tuiunganishe CAS pamoja na ile ya ligi
Umakini ukiwepoHichi Kikombe tunabeba
Angalia mnakandwa huko😄😃😆😀
Hampati hata kikombe cha kahawaUmakini ukiwepo
Refa alifunga kwa kichwa au kwa mkono kama Sajent wa Uto?Goli la refa nalo goli
HatariNdio shida ya Simba match zote, wakishapata matokeo wanakua down sana.
la mchongo kama mwanasheria wa YangaNa goli lenu la refa refa
Hata hivyo hajatoka alikua anaenda kupokea maelekezo kwa kochaHuwezi jua!
Siku hizi mpira inachezwa mashineni na kimkakati!
Bado mechi haijaisha hii......kimoja cha afya kinatosha
Tuwaulize AS VIta na Zamalek, walifungashwa virago na hawaWamekutana wote viwango viwango vinafanana. Kiukweli uwezo ni wa kawaida tofauti na presha mliyokua mnatoa kwenye hii mechi. Yan hawa jamaa utafikiri ni wakali kiivyo