Mkikandwa hatutaki vilio tutawapiga makwenziSawa mtabiri tambitambi
Basi sawa.
Goli 1 la kupewa sio kitu inabidi Simba wakandwe 2 ili akili ziwakae sawaSimba wamezubaa sana,wakichangamka kidogo tu wanaimaliza kabisa hii game.Goli 1 si kitu
Sasa kama Kibu hakuwa offside, kwanini Refa akaenda kucheck VAR ili kuona kama Kibu aliugusa au kuuingilia mpira?Wakati free kick inapigwa Kibu hakuwa offside
Walibahatisha tuhalafu imezitoa kubwa
Mimi umoja wangu upo Stellenbosch kwa MadibaTuwe wamoja mkuu ,siyo Ligi Kuu hii.
Mnaelekea kukandwaNamna gani pale.
Ila wako afadhali siyo Sawa nawale waliotolewa mapema sanaHata hawa, wako poor sana.
Ni sawa na Namungo au Dodoma Jiji kwenye NBC premier league
HIli wingu la Mvua na Haya manyunyu we Huyaoni 🤣🤣Kwani mvua ikinyesha ndio nini mvua ipo wapi inayonyesha hapa Zenji?
Ndio shida ya Simba match zote, wakishapata matokeo wanakua down sana.Simba wamezubaa sana,wakichangamka kidogo tu wanaimaliza kabisa hii game.Goli 1 si kitu
Ikianza 2rd half, simba anapigwa viwili vya haraka, mpaka akili iwakae sawa mpira umeishaWewe subiri 2nd half andaa energy na panadol ya kupooza maumivu ya kukandwa
Nenda kapewe na wewe kama rahisiGoli 1 la kupewa sio kitu inabidi Simba wakandwe 2 ili akili ziwakae sawa
Basi tusubiri bahati yao tuoneWalibahatisha tu