ManneHawa jamaa kisa wameanza kutumia VAR kila goal wanakataa, Jana magoli matatu yamekataliwa kwenye mechi za jana
🦁🦁🦁Hii timu ndogo sana
sio matatu ni ma 4 mkuuHawa jamaa kisa wameanza kutumia VAR kila goal wanakataa, Jana magoli matatu yamekataliwa kwenye mechi za jana
refa kaona aibu ila VAR imeonesha kibu kaingilia mchezo wazi waziVAR yetu hiyoooooo
Malizia Sasa...Mbona kama refaaaaa😂
hizi VAR zina uwanja wa nyumbani kumbeNi Goli. Safi.
Ubaya Ubwelarefa kaona aibu ila VAR imeseonesha kibu kaingilia mchezo wazi wazi
Kulikuwa hakuna haja ya mashine. Washabiki wa utopolo ni VAR tosharefa kaona aibu ila VAR imeonesha kibu kaingilia mchezo wazi wazi
mambo ya aibu sana hapaUbaya Ubwela
Kulikuwa hakuna haja ya mashine. Washabiki wa utopolo ni VAR tosharefa kaona aibu ila VAR imeonesha kibu kaingilia mchezo wazi wazi
refa katia aibuKulikuwa hakuna haja ya mashine. Washabiki wa utopolo ni VAR tosha
Sijajua mkuu, ila matokeo 1-0 na tunajua unaumia mno.hizi VAR zina uwanja wa nyumbani kumbe