FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Hawa jamaa wamekamia hii gemu inaweza isha sare
 
Badala mjadili mambo ya maana mnajadili simba na Yanga kenge kweli. Badala mjadili namna ya kufurika kisutu tarehe 24 mnahangaika na mamipira ya bongo
anzisha uzi tutakuja kujadiri tunafikaje huko sa iv acha tujadili ukolo wa kolo
 
Subiri dakika 90 utamjua ni nani unaemtaja Siwezi kumalizia huo utopolo. Wasio na akili tu ndio humalizia kama ulivyofanya.
huna timu mkuu, unaruka ruka dk 90 umekoswa ni draw
 
Mmekalia simba na Yanga wakati kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili. Taifa linataka Revival and Reformation
 
Back
Top Bottom