Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Shida anataka aone Simba anaenda kufunga tu kama vile wenzake walifika hatua hiyo kwa vimemo.Gemu haijapoa simba wanashambulia sana
Shida anataka aone Simba anaenda kufunga tu kama vile wenzake walifika hatua hiyo kwa vimemo.Gemu haijapoa simba wanashambulia sana
Wewe wasema, na akili jumlisha mdomo, ID na device unayotumia ni vyako. Very freekwani ule nao ulikuwa mpira ama kabumbu anzia timu hadi uwanja vyote vilikuwa hovyo
leo tofauti timu ni hovyo ila pitch iko sawa sana
caf cup,,, alafu mkuu lile kombe hata angelisupport Makonda still lingekua muhimu kwa caf maana walilipitisha. jielimishe mkuu kataa ushambaajasema abiola cup
Mbona kama refa anachezesha kwa emotionsHuyu kipa wa Stellenbosch kashaanza ufala wa kupoteza muda, wa israel wa buza wapo kimya ila angekuwa kipa muarabu ungesikia kelele zake
Ukizeeka lazima uwe mchawi. Unaanza kupangia watu maisha!!! Eboooo!!Badala mjadili mambo ya maana mnajadili simba na Yanga kenge kweli. Badala mjadili namna ya kufurika kisutu tarehe 24 mnahangaika na mamipira ya bongo
Labda kamba ya mbuziHii Kamba hii...
kabisa mkuu na kipigo anapigwa nyau maliziaWewe wasema, na akili jumlisha mdomo, ID na device unayotumia ni vyako. Very free
labda ingekuwa redeTupate goli sasa
Huo ndio ukwelimtangazaji bein sport english anaitaja fainali ya '93 hapa
Hiyo huwa wanasema Utopolo. Wenye akili hawasemi hivyo.ajasema abiola cup
Itakuwa vyemaTupate goli sasa
Njoo kisutu tukunyoosheBadala mjadili mambo ya maana mnajadili simba na Yanga kenge kweli. Badala mjadili namna ya kufurika kisutu tarehe 24 mnahangaika na mamipira ya bongo
kabisa mkuu na kipigo anapigwa nyau malizia