Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
GOoooo, Ahoua kaniprove wrong.Duh, HT inaingia hatujapata goli.
GOoooo, Ahoua kaniprove wrong.Duh, HT inaingia hatujapata goli.
Goaaaaaaal
GOoooo
Nguvu moja...💪💪💪GOOOOOOOOOOL
Ana mshipa? Anywe tangawiziKila lenye heri kwa Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports, Lunyasi.
Ushindi wa goli 3 bila unawezekana kabisa. Nguvu MojaView attachment 3309876
Dah, Mbona kama wanataka VAR tena?Nguvu moja...💪💪💪
Kumbe?...🙄🙄Hii timu ndogo sana
CrapLabda kamba ya mbuzi
halafu imezitoa kubwaHii timu ndogo sana
Oooh. Kumbe. Hilo halihesabiwi. So bado bila bila.Lakini goli la mdondo
Haya, kaza na Shirikisho ya CRDB na Ligi ya NBC.naongoza NBC