Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Hili goli Refa kazingua kimtindo.
Limekaa kioffside sana.
Limekaa kioffside sana.
Kamnyang'anye kipenga mwamuzi mkuu. Naona unaumia sana😂😂😂refa kaona aibu ila VAR imeonesha kibu kaingilia mchezo wazi wazi
Mpira ndio kwanza unaanza subiri second half utabakia mdomo waziHaya, kaza na Shirikisho ya CRDB na Ligi ya NBC.
Tupo bize kuletea heshima Taifa. Ndio maana uko hapa roho ikikuuma Simba 1 vs Bondeni 0
niumie wakat najua una ruka ruka ntakukamata fainal ya FASijajua mkuu, ila matokeo 1-0 na tunajua unaumia mno.
Nahisi hujanielewa, pita kushotoKuna kitu sio cha kawaida walikutenda waarabu si bure.
Sasa hi mechi inahusikaje na waarabu?
Subiri tufike fainali uje msimbazi kunywa thupumambo ya aibu sana hapa
Eti kimtindo..kibu hajagusa ule mpira. Linabaikia goli halaliHili goli Refa kazingua kimtindo.
Limekaa kioffside sana.
Mnapigwa mimi naweka Gari wewe unaweka nini au unajiweka mwenyewe?Walau goli hili litatupa nguvu zaidi sec half.
Tukamshitaki CAS...refa katia aibu
Jiue mkuuhizi VAR zina uwanja wa nyumbani kumbe
Kulikuwa hakuna haja ya mashine. Washabiki wa utopolo ni VAR tosha
Hapana kibu hakuugusa mpira japo alionesha kutaka kuugusa angalia vizuri kwa umakiniHili goli Refa kazingua kimtindo.
Limekaa kioffside sana.
Final ya FA kashindeni tu tutawapongeza.niumie wakat najua una ruka ruka ntakukamata fainal ya FA