Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Nguvu majooo...
Goli la mchongo ila watakandwa tu hata km wanapewa magoliHili goli Refa kazingua kimtindo.
Limekaa kioffside sana.
Hili goli Refa kazingua kimtindo.
Limekaa kioffside sana.
Nimeamini hivyohizi VAR zina uwanja wa nyumbani kumbe
Watafungwa wao na refa wao hawatoamini mpira haujaisha badoMwamuzi wa kati ni Msimbazi mtupu kabishana na waamuzi wenzie wote ili kuipa goli Simba wakati mstari wa offside ukionesha Kibu yupo katika eneo la kuotea
Wakati free kick inapigwa Kibu hakuwa offsiderefa kaona aibu ila VAR imeonesha kibu kaingilia mchezo wazi wazi
Mkuu ile sio offside clear kabisa. VAR imetuonyesha muda mpira umefika kwa kibu,, ilipaswa kutuonyesha muda inapigwa ile cross ndio tuone.MO at work
Footage kutoka Jangwani kwenye Big screen baada ya Ahoua kufanya yakeMwamuzi wa kati ni Msimbazi mtupu kabishana na waamuzi wenzie wote ili kuipa goli Simba wakati mstari wa offside ukionesha Kibu yupo katika eneo la kuotea
Kwa mvua ilopiga leo iyo game ingekua inachezwa kwa mkapa wachezaji wangelikua wanaogelea tope saiv 😃Siamini kama huu uwanja hauna maji. Hii mvua iliyonyesha leo ni kubwa sana
Goli la mchongo refa kawapa goli la bureNimependa pressure ya mashabiki kwa mwamuzi. Hili goli hakikutakiwa kuchukua muda wote huo kuliangalia kwenye VAR
2nd half tutakupa resoFootage kutoka Jangwani kwenye Big screen baada ya Ahoua kufanya yakeView attachment 3310315
Wazenj acheni ujinga, tutawakatia umeme, ohoooHili goli Refa kazingua kimtindo.
Limekaa kioffside sana.