Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
Kumbe 🐸🐸wanafuatlia hii mechi 😂😂
Sitaki, napita kulia. Pita mwenyewe huko kushotoNahisi hujanielewa, pita kushoto
Subiri mpira uishe tutakupa kitambaa cha msaada ufute machoziHawa ndugu zake Fadlu hata 3 wanakula vizuri tu. Hawana maajabu yoyote
Kusema MO at work haina maana sio goli halali.Mkuu ile sio offside clear kabisa. VAR imetuonyesha muda mpira umefika kwa kibu,, ilipaswa kutuonyesha muda inapigwa ile cross ndio tuone.
Kumbe unafuatilia!refa katia aibu
HamkosekanagiGoli la mchongo ila watakandwa tu hata km wanapewa magoli
Ni kwa siri mno.Kumbe 🐸🐸wanafuatlia hii mechi 😂😂
Teh teh 😃 😃 😃 Uto... bhana...niumie wakat najua una ruka ruka ntakukamata fainal ya FA
Sitaki dhambi, bakia na mkweche wako huo.Mnapigwa mimi naweka Gari wewe unaweka nini au unajiweka mwenyewe?
Mtalia mkikandwa second half reso zipo za kutoshaTumefurahiiiii
Mimi nimeona kama weweWakati free kick inapigwa Kibu hakuwa offside
Stella AbijanStellen Bosche - Stellen Abidjan
Huwa si-reply comment za hivi zenye mawazo hasi muda woteMtalia mkikandwa second half reso zipo za kutosha
Subiria mkandwe kipindi cha pili tuanze kukagua sura za waliobanwa na mavi sijui ndio choziSitaki dhambi, bakia na mkweche wako huo.
Mimi mwenyewe nashangaa VAR inaangalia huku mbele mbona hawatuonyeshi wakati mpira unapigwa kama huyo Kibu alikuwa offside?Mkuu ile sio offside clear kabisa. VAR imetuonyesha muda mpira umefika kwa kibu,, ilipaswa kutuonyesha muda inapigwa ile cross ndio tuone.
Ukianza kulia useme mpira bado unadundaHuwa si-reply comment za hivi zenye mawazo hasi muda wote
Refa kawapa goli la uongoMimi mwenyewe nashangaa VAR inaangalia huku mbele mbona hawatuonyeshi wakati mpira unapigwa?