FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Kibu hakuwa offside. Hata kama angeucheza mpira bado lilitakiwa kuwa goli. Naanza kukubaliana na yule aliyesema hawa Wazulu wanataka kutuchezea.
Offside ila sio kesi 2nd half ndio mwisho wenu
 
1745158037477.png




zenjibar
 
Hapana kibu hakuugusa mpira japo alionesha kutaka kuugusa angalia vizuri kwa umakini
Ndugu yangu unajua sheria ya offside?
Huhitaji kuugusa mpira ili uwe offside, kitendo cha kuwa eneo la offside na harakati zako zikaingilia mpira hata bila kuugusa mpira hiyo ni Offside.
Pale Kibu alikuwa offside kwa 100%.
 
Kwa kinachoendelea hapo aman complex aibu naona Mimi
Niwazi mwakarobo wamemlipa referee donge nono
 
Back
Top Bottom