900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Timu ndogo zilishaondolewa mapemaHii timu ndogo sana
Timu ndogo zilishaondolewa mapemaHii timu ndogo sana
Kichaka chenu cha fainali lazima kifyekweMnakandwa itakuuma zaidi
Unaumia tokea wapiMwamuzi wa kati ni Msimbazi mtupu kabishana na waamuzi wenzie wote ili kuipa goli Simba wakati mstari wa offside ukionesha Kibu yupo katika eneo la kuotea
Waache wang'ang'ane na goli la kupewa kipindi cha pili hakuna goli la kupewa wanakandwa 2 mfululizoNdugu yangu unajua sheria ya offside?
Huhitaji kuugusa mpira ili uwe offside, kitendo cha kuwa eneo la offside na harakati zako zikaingilia mpira hata bila kuugusa mpira hiyo ni Offside.
Pale Kibu alikuwa offside kwa 100%.
Refa wa FIFArefa katia aibu
Hamtoamini kukandwaKichaka chenu cha fainali lazima kifyekwe
Wa mchongoRefa wa FIFA
hata wale walio dhurumu afrika kusini ni wa FIFARefa wa FIFA
Wewe subiri 2nd half andaa energy na panadol ya kupooza maumivu ya kukandwaUnaumia tokea wapi
Wewe ME au KE?hata wale walio dhurumu afrika kusini ni wa FIFA
Chura bana! Kwann kisingeitwa kifo cha......
2nd half ndio mnapoishia hamfiki popoteNyie mwisho wenu wapi ? Katika mashamba ya bangi Manyara ?
Kweli Utopolo hamna akiliKwa lugha ya picha ilionekana wazi hata Refa mwenyewe hana uhakika kama ni goli kweli baada ya kucheck VAR, halafu kamisaa kiaina akamuelekeza wewe weka mpira kati tu, amua goli tu ili mambo yasiwe mengi hapa.
Hata hawa, wako poor sana.Timu ndogo zilishaondolewa mapema
Ndio 2 zinafungwa na Stellenbosch na hawapewi wanafunga kihalali kabisasubiri kamba mbili second half
Sawa mtabiri tambitambi2nd half ndio mnapoishia hamfiki popote
Wanakandwa