FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Mechi kali ya mkondo wa kwanza Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika inapigwa leo, ambapo Mnyama Simba SC anawakaribisha Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini, katika dimba la Amaan, Visiwani Zanzibar.

Mchezo huo utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni.

Kaa karibu kwa Live updates

Asubuhi Zanzibar watu wameamka na baraka ya mvua kuelekea mtanange mkali jioni ya leo

Kutoka nje ya Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar mvua inaendelea kunyesha.

Baadhi ya mashabiki wa Simba wameanza shangwe mapema nje ya Uwanja wa New Amaan Complex kuelekea mchezo wa saa 10 wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini.

Namna mambo yalivyo muda huu New Amaan stadium Zenji kuelekea mbungi ya Jioni hii baina ya mnyama na msauzi.

Stellenbosch wako uwanjani kwa ajili ya ukaguzi wa sehemu ya kuchezea uwanjani.

Kikosi Simba SC kikiondoka kambini kwenda uwanjani.


Kikosi cha Simba Sports Club dhidi ya Stellenbosch FC, CAFCC

Kikosi cha Stellenbosch FC dhidi ya Simba Sports Club, CAFCC


Mechi imeanza: Simba SC 0-0 Stellenbosch FC

1' Stellenbosch FC wameanzisha mtanange
4' Kona - Simba wanapiga
8' Faulo - Stellenbosch FC wanapiga
10' Faulo - Stellenbosch FC wanapiga
12' Kona - Simba wanapiga
15' Faulo - Simba SC wanapiga
16' Kona - Simba wanapiga
17' Kapombe anakosa kutumia nafasi
Wasauzi wako poor
 
Kuipelekea hii mechi zenji itawapa sana maokoto ZFA. Ndo wafanye figisu sasa kipindi hiki cha mama moja ya timu iwe inatumia uwanja wa amani
 
Huyu kipa wa Stellenbosch kashaanza ufala wa kupoteza muda, wa israel wa buza wapo kimya ila angekuwa kipa muarabu ungesikia kelele zake
 
Huyu kipa wa Stellenbosch kashaanza ufala wa kupoteza muda, wa israel wa buza wapo kimya ila angekuwa kipa muarabu ungesikia kelele zake
Kuna kitu sio cha kawaida walikutenda waarabu si bure.

Sasa hi mechi inahusikaje na waarabu?
 
Back
Top Bottom