uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Tuko tayari kuwauwa!!Mimi nitakuwa Kisiwandui hapo panapo majaaliwa
Tuko tayari kuwauwa!!Mimi nitakuwa Kisiwandui hapo panapo majaaliwa
Government is not a solution to your problems, Government is the problem- Ronald ReaganSelikali haijatundea Haki watanganyika kwa Kushindwa kuandaa Mchezo huu wa Muhimu sana kwa Simba Bara.
Watanzania amkeni kwenye huo usingizi mzito.
KILA LAKHERI MNYAMA MKALI JAPO KAZI UNAYO.
Hali ya hewa inaruhusu kabisa kufanya mauwaji!!Stella atapigwa kama ngoma
Sanaa yaani utasema haikunyesha mvuaPitch imetulia
Anapenda kweliIla Kibu kupenda kukaa na mpira muda mrefu sijui ataacha lini
Ushabiki ni nusu ya wendawazimu!Huyu Mpanzu kwa nini hachezi ulaya. Tunafaidi kipaji chake kwa bei nafuu kabisa.