Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Sijui bondeni itakuaje.Aloo mbona jamaa wanatupelekea sana presha??
Sijui bondeni itakuaje.Aloo mbona jamaa wanatupelekea sana presha??
Usianze kutuna mashavu umebanwa na nini?How do y'all handle this sh!t?
Mpaka mkandwe kwanza mnachekelea goli la kupewaYani goli 1 wanapoteza muda! Wanashangaza sn
Ona saa hii wanashambuliwa tu
Huyu refa hajitambui.Refa wa FIFA
Mpaka mkandwe bado hamjasemaIts official, africa hatujui bolli....tunaruka ruka tuuu. Yaani semi final zote tatu mpaka sasa low tempo no creativity poor technical quality.
Wangekuwa mbele wapo vizuri ngoma ingeshaisha. Wamewakamata vizuri tu Simba ila mbele wanakuwa na maamuzi ya hovyoStellen hakuna timu hapo. Hata counter attack inawashinda?
Goli la kusawazisha linanukia,possession imeanza kushuka Kwa kolo FCNyie subirinie la kwenu kesho ndondo cup
Refa wao na bado watakandwaHuyu refa hajitambui.
Wanashiriki mashindano gani?Unazungumzia kina nani?
Au ni Young Africans mliowakimbia.
Tunasubiri wakandwe watu washanuna hapaGoli la kusawazisha linanukia,possession imeanza kushuka Kwa kolo FC
MnakandwaWanywa supu vibuduz duwah zenu feki hazina madhara!
Sio kuridhika, moto umekata.pumziNdio kwamba Simba wameridhika na goli Moja? Tuwaongeze jingine Hawa.
Mpaka mkandwetatizo mipangoo
Ndio wanaenda kukandwaSio kuridhika, moto umekata.pumzi
Mnaogopa nini kukandwa?Wanashiriki mashindano gani?
Na Mohamed Hussen.Toa Mukwala na Ahoua, weka Ateba & Mavambo