Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Mohamed Hussen Out!
Mnakandwa na goli lenu la kupewaMpira hauchezwi dakika 100View attachment 3310371
MnakandwaMohamed Hussen Out!
Ukiwa kwenye hatua ya makundi huwezi kuwaelewa wanaocheza knock-out stageYani goli 1 wanapoteza muda! Wanashangaza sn
Ona saa hii wanashambuliwa tu
Mc Alger ?Kolo mnapaki basi Bado dk 30 wakati hata goli mlilopata ni mbeleko?
Hata ikiwa free header mnakandwaWeka free kick hapo
Kitambo sana mwaka huu nimepunguza kwa asilimia 80% kufuatilia masuala ya mpira , Mimi chizi mipira lakini ajabu mpka Uefa mwaka huu sijacheki mechi hata Moja pamoja na EPL.adriz Mbona kimya ?
Hata akiingia mishale bado mnakandwaDaaah unamtoa Mpanzu unamuingiza Mitale??
Anhaaa kumbe aliitwa na kocha kupata maelekezo?Daaah unamtoa Mpanzu unamuingiza Mitale??
Kolo wanakandwaKitambo sana mwaka huu nimepunguza kwa asilimia 80% kufuatilia masuala ya mpira , Mimi chizi mipira lakini ajabu mpka Uefa mwaka huu sijacheki mechi hata Moja pamoja na EPL.
Niko kwenye process za kuacha uchizi na ushabiki wa mipira ndio maana nipo kimya sana kwenye sports mwaka huu.
Yanga 0-0 MC AlgerKolo mnapaki basi Bado dk 30 wakati hata goli mlilopata ni mbeleko?
Huwezi jua!Daaah unamtoa Mpanzu unamuingiza Mitale??
Atoke ili mkandwe mkosee wa kumpa zigo la lawamaAnhaaa kumbe aliitwa na kocha kupata maelekezo?
Kukaandwa tuYani hata sub za hovyo
MnakandwaYanga 0-0 MC Alger