Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Huenda wakabadilika wakiwa Uwanja wa nyumbani.Hongereni najua hamuwezi kukutana na kitu cha tofauti kule bondeni. Jamaa hawana maajabu hawa kazi kwenu tu kufika fainali.
Simba ijipange vizuri ifike fainali..