round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Gpli la dhulma limefidiwa na Ahoua kukosa nafasi ya wazi,
Acha uchawi wewe mtoto mdogoOffside ila sio kesi 2nd half ndio mwisho wenu
Dah!..., kazi kweli kweliWatu wa 4 mshampita hadi kipa mnakosa goli
Nyie Kwa Mkapa mlishindwa kutoboa!Tusidanganyane,Kwa Madiba Kolo hamtoboi