Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
We 🐸up0 Manyara au Ujugu arena?Tusidanganyane,Kwa Madiba Kolo hamtoboi
We 🐸up0 Manyara au Ujugu arena?Tusidanganyane,Kwa Madiba Kolo hamtoboi
Kweli aliomba Sub alikuwa analalamika nyama za paja,sijui kwa nini hakutolewa.Simlauma Ahoua ila namlaumu Kocha why hakumfanyia sub aliyo omba?
Ni tatizo sugu la ubinafsi ambalo bado halijapatiwa ufumbuziSIMBA PAPARAA....Ni kama forward hawaongeagi....
ATEBA akishakuwa ktk position lakini AHOUA akaendelea kukokota.....
ivi unategemea nijipige ban mkuu?
Huu umegeuka ugonjwa wa kudumu..Wachezaji wa Simba wanahitaji darasa maalumu la utulivu hasa dakika za mwisho. Mechi nyingi sana wanakosa magoli muhimu dakika za mwisho.
Sema Nyuma mwiko kwa sautiGpli la dhulma limefidiwa na Ahoua kukosa nafasi ya wazi,
Yanga hii hii iliyopo Babati au Yanga ipi?Kama ni rahisi nendeni mkafuzu HUKO kwa madiba kama alichofanya yanga!!.
Wasake wajinga wenzie popote walipo
Refa alishaweka katiSasa kama Kibu hakuwa offside, kwanini Refa akaenda kucheck VAR ili kuona kama Kibu aliugusa au kuuingilia mpira?
Kwanini Refa hakukwenda kucheck VAR ili kuona Kibu kama yupo kwenye offside position?
Kwa kifupi sana, Kibu alikuwa offside, issue ni je, aliuingilia mpira ama la.
Yani kocha amshauri refa??😂😂😂😂tukeshinda ila hatuna furaha!!. Kama ni rahisi nendeni mkafuzu HUKO kwa madiba kama alichofanya yanga!!.
Gori la mchongo!! Yule fourth official anahusika coz ndio aliyekuwa anaongea na Fadlu labla ya kwenda VAR na akamshauri refa kuweka Kati. Hili litalipwa bonde.