FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Daah na hapa kipa wao namba moja Sage Stephens na mshambuliaji wao hatari Ashley Cupido hawajacheza sababu ya majeraha, ila tumeshindwa kupata hata goli mbili na tumekosa goli la wazi kabisa dakika za mwisho yani hili limeniuma vibaya mno, kwa mara ya kwanza simba imeshinda na sina furaha tuombe tu hao wachezaji hadi kufikia second leg wawe hawajapona na kule tusishambuliwe sana
Hua najiuliza kocha ni kua Kuna mambo hua anayaona ambayo hatuyaoni? Mtu anaomba sub unamkatalia ..
 
Kolo mmeshinda japo hamna furaha msijali ndio football ilivyo ila nawakumbusha tuu msiende tena kuchoma uwanja wa watu kule south kwa kuendekeza ulozi wenu
 
Heri ya Pasaka babu Grahams

Endelea kuandaa kibunda wiki ijayo kinakutoka, biashara inaenda kuishia kwa Madiba.

Kwa leo, hongera.
Heri ya Pasaka kwako pia Mjukuu

Nilikuwa Mtaani kula pweza kidogo, si unajua sikukuu 🤗

Wale wasouth Wana bahati sana, otherwise ilikuwa wanywe nyingi sana

Niandalie zawadi yangu tu, wale tunaenda kuwafurusha kule kule kwao 💪👊
 
Back
Top Bottom