FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Kocha fadlu ni kama anatumia uzalendo kwa taifa lake SA kutuhujumu, bado najiuliza nini kilipelekea kumlazimisha Ahoua kuendelea kucheza wakati aliumia na kuomba kutoka yeye mwenyewe.
 
Vijana wetu sijui kama wanafanyia kazi hii fursa ya visibility, sijui mawakala wa wachezaji wenyeji kama wanatumia fursa ya visibility kuwauza vijana mbele huko...maana biashara ni matangazo, na matangazo ni kuonekana.
Watu wa timu zetu wanasema wachezaji wa Bongo ni rahisi sana kuridhika!
 
Kocha fadlu ni kama anatumia uzalendo kwa taifa lake SA kutuhujumu, bado najiuliza nini kilipelekea kumlazimisha Ahoua kuendelea kucheza wakati aliumia na kuomba kutoka yeye mwenyewe.
😂😂😂Taifa kuwa na watu kama nyie ni tunu kubwa sana 🤝
 
Simba wanayo nafasi kufuzu kwenda finali. Lakini kuna kazi ya ziada ya kufanya kuipenya midblock na low block yenye utulivu mkubwa ya Stelenbosch!

Bila hivyo, Simba wameumaliza mwendo
Nafikiri shida ya Simba S.C siyo kupenya midblock au lowblock kwani huo uwezo wanao na hata leo wamepenya sana
Shida ni kuwa baada ya kupenya accuracy golini inapotea kwa wamaliziaji.
 
Hakuna namna. Ndiyo mambo ya Ibrahim Ajib ambaye alicheza mpaka akaitwa "Abdacadabra" lakini mwenyewe akawa anasema hachezei Mpira shida!
maono mafupi...

saa nyingine tusiwalaumu sana, maana raha za Bongo ni hatari
 
Sawa Mwakakikundi. Kwa vile mliishia kutolewa na Mamelodi na Mnyama mnafikiri hivyo hivyo.
Kunywa maji mengi upunguze chuki na hasira
Ona huyu naye, Mamelody walitutoa kwenye shirikisho au klabu bingwa?

Na ulivyo mbumbumbu unabishana na aliyecheza fainali ya huko shirikisho unakohaha na wachezaji wenu wasio na viwango.
 
maono mafupi...

saa nyingine tusiwalaumu sana, maana raha za Bongo ni hatari
Labda... Maana Feisal alikuwa anasema mchezaji mshahara hata ukiwa mdogo maisha ya bongo hugharamiwa na mashabiki!

Machangu ndiyo wa kubadilisha mchezaji atakavyo.
 
Ona huyu naye, Mamelody walitutoa kwenye shirikisho au klabu bingwa?

Na ulivyo mbumbumbu unabishana na aliyecheza fainali ya huko shirikisho unakohaha na wachezaji wenu wasio na viwango.
Simba ilishawahi kucheza fainali ya mashindano ya Kafu (CAF) Kabla ya utopwinyo.

Kama unataka uhakika muulize Mzee Sunday Manara au Jakaya!
 
Kwa roho zenu za mkaa ndiyo maana meishia makundi.
Mlikuwa kwa waarabu Al Maesry, mkaangukia pua. Leo kapigwa Zanzibàr mnaenda South Africa.
Kwa ushauri tu Mwakakikundi, jiliwaze na ile mechi ya 5-1 mliyoifunga Simba.
South afrika muombe mpewe uwanja mkeshe usiku kucha kama ilivyokua aman leo
 

Attachments

  • VID-20250420-WA0003.mp4
    9.2 MB
Back
Top Bottom