FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Aliyekimbia mechi ni yule anayedai apewe points 3 za dezo...

Eti 🐸🐸 mpewe points 3 pasipo kumkaba Mpanzu!?

Hakuna kitu kama hicho... Hebu leteni timu uwanjani kama hamjakimbia.
Mpanzu huyu aliyekataliwa Beligium!!, Haya fuzuni basi kama yanga 😂😂. Kombe la looser mnatoa jashoo were.. sisi ilikuwa bam bam bam wanakula tu...
 
Fadlu ni Conservative Sana. Jinsi asivyopenda kufanya mabadiliko hadi inashangaza.

Kwa mfano Kwa Sasa Nouma ni Bora zaidi kuliko Mohamed Hussen ambaye nadhani anapangwa kimazoea tu.
Afadhali kidogo siku hizi Simba ina ujasiri wa kumpumzisha Zimbwe. Kuna wakati ilikuwa hata azingue vipi lazima amalize game.
 
Mpanzu huyu aliyekataliwa Beligium!!, Haya fuzuni basi kama yanga 😂😂. Kombe la looser mnatoa jashoo were.. sisi ilikuwa bam bam bam wanakula tu...
Pumbavuu yani kucheza na vile vitimu vya hovyo vilivyokuwa vinashuka daraja ndio mnajisifia mngekutana na wenye kombe lao kina Berkane na Zamalek unadhani mngetoboa hata nusu, hoja ni kwamba mahali ambapo yanga inafika ikiwa na kikosi kizuri simba inaweza kufika ikiwa na kikosi kibovu, yani mkiwa na striker kama mayele mkashindwa kubeba kombe lile halafu mnakuja hapa kutupigia kelele na medali utadhani ni wanariadha toka lini timu ya soka ikajisifia medali
 
Hivi tukifika fainali na kubeba hilo kombe si mtakufa kwa vihoro, maana mna stress kweli kwa kuhofia kwamba tutaifikia rekodi yenu na pengine kuivunja kabisa, hilo halina budi kutokea mpende msipende na msimu huu simba inamaliza na treble take this from me
Kwa timu ipi? Mnaenda kukandwa vizuri, mrudi kucheza na Namungo.
 
Pumbavuu yani kucheza na vile vitimu vya hovyo vilivyokuwa vinashuka daraja ndio mnajisifia mngekutana na wenye kombe lao kina Berkane na Zamalek unadhani mngetoboa hata nusu, hoja ni kwamba mahali ambapo yanga inafika ikiwa na kikosi kizuri simba inaweza kufika ikiwa na kikosi kibovu, yani mkiwa na striker kama mayele mkashindwa kubeba kombe lile halafu mnakuja hapa kutupigia kelele na medali utadhani ni wanariadha toka lini timu ya soka ikajisifia medali
😂😂Sasa hivyo vitimu si vilikuwa Sawa na nyie kwa nafasi katika ligi zao...wewe unacheza shirikisho Sawa na mallumo amabaye nae alishika nafasi ya 3/4 kwenye ligi yao!. Dhimba mbovu iko wapi ikacheze na Yanga princess kwanza 😂.
Hebu kalete na ww hizo medali kama ni rahisi aloh.

Mshukuru refa kuwazawadia gori la dezo.... Ila kule bondeni mtachezeshwa Amapiano ya kila rangi🚶🚶
 
Jamaa siku hizi wanaitumia Afrika ya Mashariki hasa Simba na Yanga kama njia yao ya kupata mafanikio kimataifa.

Yaani wengi wanakuja hapa hata timu zao za Taifa hawaitwi ila wakifika hapa wanaitwa kwenye timu zao za Taifa.

Unakumbuka Pape Sakho. Mpaka akajulikana na Sadio Mane!
Simba nichuo cha mpira. Hii nikauli ya zamani sana ila sasa inajidhihirisha
 
Mpanzu huyu aliyekataliwa Beligium!!, Haya fuzuni basi kama yanga 😂😂. Kombe la looser mnatoa jashoo were.. sisi ilikuwa bam bam bam wanakula tu...
Unataka kusema hilo kombe mnalo kabatini.... Hahahaaaa mlikuwa bam bam kugombea kombe la wamama na hamkulipata dadeki 🤣🤣

Sasa mko Manyara kugombea kombe la mbuzi 😂😂
 
Unataka kusema hilo kombe mnalo kabatini.... Hahahaaaa mlikuwa bam bam kugombea kombe la wamama na hamkulipata dadeki 🤣🤣

Sasa mko Manyara kugombea kombe la mbuzi 😂😂
Ndio maana tukawachia waarabu, naona nyie mnaruka mpaka mnapakwa wese na mwamposa asee😂😂.
 
Back
Top Bottom