FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Mvua ni kubwa sana, tuone pitch kama itakua na tope kama kwa mkapa
 
Selikali haijatundea Haki watanganyika kwa Kushindwa kuandaa Mchezo huu wa Muhimu sana kwa Simba Bara.

Watanzania amkeni kwenye huo usingizi mzito.

KILA LAKHERI MNYAMA MKALI JAPO KAZI UNAYO.
Huyu nae...

TFF Wapo na mipango ya kuwezesha timu 3 kutoka Zanzibar kushiriki ligi kuu Tanzania bara.

Hapo upo...?
 
Ukute mmoja wa mods humu ni karia. Haiwezekani badge ya live ikawekwa saa tano asubuhi huku mechi ni saa kumi jioni.

Na mpigwe kipigo cha mwanaukome
GjFPPmnW4AAbvIu.jpg
 
Ukute mmoja wa mods humu ni karia. Haiwezekani badge ya live ikawekwa saa tano asubuhi huku mechi ni saa kumi jioni.

Na mpigwe kipigo cha mwanaukomeView attachment 3310132
Mod atakuwa ameondoka ofisini saa 5, either kaenda Zanzibar Aman au kusherekea pasaka😂

Akaona isiwe taabu. Kaiweka mapema

Hicho kipigo cha mwana ukome, na cha mbwa koko na paka shume tunawapiga Stellenbosch wa bondeni, maumivu watapata chura wa bondeni Tanzania😂
 
Kwanza ungeanza kwa kututajia value yako humu JF ni ipi ili nasisi tujue katika hizo siku 3 ambazo utakuwa umekula ban tuweze kupima ni gape la kiwango gani limepungua.
Mata(o mmoja tu huyo chief.

Mlopokaji Haswaaa
 
Back
Top Bottom