Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Kila la kheri wazee wa lunyasi,ueni hao wasouth hata 2
HiiiiiiHebu ngoja tuone…
Daah hiyo picha.
Ahsantee Vin, na iwe kheri kweli, inshaallah
Heri hata mnasehemu yakukimbilia tena nyumbani kabisa!, huwaonagi sudan na somalia wanavyohangaika viwanja mpaka wanakuja azam!..Nchi km Tanzania et hatuna uwanja wa kuchezea mechi hii,aibi aibu sana .
Ahsantee Vin, na iwe kheri kweli, inshaallah
🙏🙏
Tumepata uhuru 61 mpaka xaxa hatuna viwanja hata 2 Bora,,xix sio wakufananishwa na somalia na sudani nchi zenye vita wakt sis ni nchi ya aman.,hapa viongiz wetu wanaonesha jinsi wanavyojari matumbo kuliko kujenga nchi hiiHeri hata mnasehemu yakukimbilia tena nyumbani kabisa!, huwaonagi sudan na somalia wanavyohangaika viwanja mpaka wanakuja azam!..
viwanja sio kwamba havipo shida ni kiwanja gani kinaingiza watu wengi tofauti na mkapa...?
Siyo inshu. Zanzibar pia ni nyumbani!Nchi km Tanzania et hatuna uwanja wa kuchezea mechi hii,aibi aibu sana .
Haha! tukiwaambia no reform no election mnang'aka tulieni dawa iwaingie...🤣Tumepata uhuru 61 mpaka xaxa hatuna viwanja hata 2 Bora,,xix sio wakufananishwa na somalia na sudani nchi zenye vita wakt sis ni nchi ya aman.,hapa viongiz wetu wanaonesha jinsi wanavyojari matumbo kuliko kujenga nchi hii
ngara23na laban org nisaidieni kumjibu huyu kolo,kwani kupigwa ban ni mpaka uwe na mchango chanya jukwaani?Kwanza ungeanza kwa kututajia value yako humu JF ni ipi ili nasisi tujue katika hizo siku 3 ambazo utakuwa umekula ban tuweze kupima ni gape la kiwango gani limepungua.
New aman complex ni uwanja mdogo sana haiwez ukawa sana na wa mkapaSiyo inshu. Zanzibar pia ni nyumbani!
Hilo halipingiki ila point ya msingi ni kuwa bado ni nyumbani na mpaka sasa uwanja haujajaa!New aman complex ni uwanja mdogo sana haiwez ukawa sana na wa mkapa
😂😂😂😂😂 wee toa tyuuh. Sitajibu sahivi.Natamani nikupe mineno hiyo lakini najua utanitusi maana nawe hunaga breki...🤣
😂😂😂😂😂Simba ikishinda nipigwe ban View attachment 3309894
natoa dogo tu ili nami nije nipate madogo! "leo mnalambwa!"..😂😂😂😂😂😂 wee toa tyuuh. Sitajibu sahivi.
Ila baadae tukishinda, ndo nakurudia sasa tuanzie ulipoishia.
😂😂😂😂😂