FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Dah, kama vile tumetepeta flani hivi. Kocha leta mbinu. Onyesha ufundi.
 
Kolo mnapaki basi Bado dk 30 wakati hata goli mlilopata ni mbeleko?
Mpira hauchezwi dakika 100
PXL_20250420_143558080.jpg
 
Hapa tumepoteana,
Itokee siku mwalimu acheze na double strikers, apunguze huyu ahoua.. kwenye kukaba hana msaada, kwenye kuchezesha timu humkuti, kutengeneza nafasi nayo shida, hana msaada wa maana humu ndani
Nasikia harufu ya bao la Stellenbosch
 
Back
Top Bottom