FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Ila Vipers nao wepesi sana, hawana maajabu. Mmekutana madunduka na mdananda tu hakuna kipya...
4D779DDA-158E-4055-930D-E728F9A63870.jpeg
 
Sekandi hafu wataingia na aprochi ya kufunguka

Hapo ndio watakuwa wamejikologa kwenye draft tunamsemo kuwa "tunakula kete zote kuanzia kwenye bao hadi za mkononi alizoshika mpinzani "
Hii mechi ni fainali kwenu, tuweke utani pembeni hawa wakijichanganya si mbaya mkiwafanya kama Manchester walivyofanywa.

Mechi na Horoya itakuwa ngumu, leo mshinde kibabe kuweka do or die mechi ya mwisho.
 
Back
Top Bottom