Katafute ile first eleven tuliocheza nayo halafu uje kunijibuHawa siyo ndiyo waliowapasua hapa kwa Mkapa kwenye siku yenu? Sasa leo mnawadharau? Au ndiyo ile ya mzigo wa mwenzio ni ganda la usufi?
Walituonesha panapovuja, ndio uzuri wa pre season, wakija leo wanapigwa wiki nzima, Vipers walitusaidia kuimarisha timu.Waliwagonga 2-0 pale taifa kwenye siku yenu
Walimtoa Mazembe na wakawapiga utopolo 2-0Ila Vipers nao wepesi sana, hawana maajabu. Mmekutana madunduka na mdananda tu hakuna kipya...
Inapanda, nachotaka tupunguziwe mzigo wetu wa magoli ya kufungwa..Kwani matokeo yakibaki kama hivi yalivyo Simba haipandi nafasi ya pili?
Mtani upo Shunie 😄😄😄😄 nachangamsha genge tu. Nikisubiria kesho...[emoji1787][emoji1787] kwa kutusagia kunguni tu ndugu yangu
hatufuatiliiYanga now wanafuatilia
Nilitaka niinhie uwanjani nimbishie refa, uzuri naye aliionaOffside😂😂😂
Kwa maslahi mapana ya mpira wetu naomba Simba na Yanga waingie robo tuweze kumantain timu 4 kucheza mashindano ya CAF.Sis tunawataka Viper na Horoya, Raja wafunge hata 10