FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Hawa siyo ndiyo waliowapasua hapa kwa Mkapa kwenye siku yenu? Sasa leo mnawadharau? Au ndiyo ile ya mzigo wa mwenzio ni ganda la usufi?
Katafute ile first eleven tuliocheza nayo halafu uje kunijibu
 
Offside aise walikuwa wanatuua hawa
 
Ukweli ..
Mechi haijaisha pressure yangu iko juu..
Kiufundi hawa vipers skilled players ..ni matokeo tu yamewakalia vibaya
 
Back
Top Bottom