FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Hongera mtani. Naona umeshusha pumzi kama vile umetoka kuzaa mapacha!

Hii simba yenu siku hizi hata mkishinda, mnashinda kwa mateso mno!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Astakafilurah
 
Simba tumeshinda....
Lakini roho imetuweka juu juu...
Simba yenyebini ingeweza kushinda hata 4 kama ile AC VITA...
Kongole kwa CHAMA ... bliliant skills zimeamua mechi.....Man of the match
 
Ukipata muda, katazame wale wanaoongoza makundi yao alafu useme ni nani kati yao utamfunga goli nyingi.
Nakupa hiyo kazi umchague yeyote umpendae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Taifa Kubwaaa[emoji1306][emoji1306][emoji1306]
 
Sema haya majamaa leo yalikamia kuja kutuaibisha haya,khaaa
 
FT' Simba 1-0 Friends Of Yanga

Tukutane kesho kwenye siku ya wanawake pale kwa Mkapa.

Adios Amigo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…