Hili kundi liko very interesting, pamoja na Vipers kufungwa mechi tatu bado anao uwezo wa kutinga robo finali. Ni Raja pekee ndiye ambaye ametinga robo fainali, walisalia wanayo nafasi ya kuungana na Raja.
Wamepewa hadi mwezi wa 4 au 5 wanakuja kuangalia target ya kwanza kama imefikiwa ambapo inajumuisha maboresho ya pitch. Uwanja leo una hali mbaya kuliko hata game za mwisho zilizochezewa pale.