Na sisi tushinde sasa...Afe kabisa tena nyingi sana.
Bila shaka ..Na sisi tushinde sasa...
Dah!...tuwafunge sasa hata kabla ya half time....20' bila ustadi wa Aishi Manula, Vipers wangepata goli la kuongoza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwana Yanga amekutwa na vitu ambavyo watu wamevihusisha na maswala ya ushirikina
Mkuu ule uzi wako wa utabiri wa mechi kati ya Vipers vs Simba pale St. Mary's Uganda uliufuta?ZBC miyeyusho sana sio wa kuwapa nafasi kubwa ya kuonesha hii mechi