Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
SureWote tuende next stage, Utani wa jadi tuuweke pembeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureWote tuende next stage, Utani wa jadi tuuweke pembeni
Hawa vifaranga sio wa kutuita ZuwenaLeo ndio tutajua hawa ni Vipers au ni Diapers
Ukimaliza game unaingia kwenye gemu kweli guvu mojaNimepika mapemaa wkt game inaanza nimeshamaliza
Kaona anatoa sana pasi hazina matunda naona amalizeKwahyo Chama leo ana milioni zake kadhaaa
Huo ni msamiati kwa Mashabiki wa hizi timu mbiliWote tuende next stage, Utani wa jadi tuuweke pembeni
Mbona leo hamumtukani kocha wenu?
Mlivyofungwa na Al hilal mlimsifia kocha wenu?
Wapuuzi walijikuta wajuaji sana acha tuwashushie nondo nzito zile zinazobebwa siteHawa vifaranga sio wa kutuita Zuwena
Hatari sana....Kamfunga tobo.
Yamekuwa haya tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wangu yuko Simba. Wakishinda hivi anashiba bila kula... sijui mtani KalpanaView attachment 2540879
Nyie wadada wawili mkawapikie wanaume zenu acheni mambo ya ajabu
Kule game itaisha over 3.5Vipi kule kwa Horoya mnaotazama?
Goli zuri.Hatari sana....
Muzamir + SAIDO Walitakiwa wamchezeshe Phiri...Phiri kapotea sana hawamlishi mipira. Hawa wetu kabisa. Simba waache vipasi vifupi vifupi pale golini, aingie Banda speed iongezeke pale mbele.
Kumbe nawe simba🤭Dah afadhali tumepata hilo moja kwanza