FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

Hivi ROBERTINO haoni Kuwa forward yake haitembei.....hana mbinu mbadala..?
 
Ila mimi sijapenda kabisa 😥😥😥😥
Vipers sijui wakoje 🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬
 
Tulieni jamani hii pressure Vipers wamekuja nayo ilitegemewa, hawana cha kupoteza, dkk 15 -20 tukiwamudu watachoka, thn tutahamia kwao no problem
 
Tukifanya masihala hapa tunatiwa chuma
 
Ila mimi sijapenda kabisa [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Vipers sijui wakoje [emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sakho anatoka anaingia nani sijui huyu
 
Back
Top Bottom