Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshikilia pumbu zao kwa Vipers[emoji23][emoji23]Ukimya Ulitawala Hapa Kidogo Baada Ya Hili Goli Kuingia, Washukuru Ni Offside [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama TP alivyofanya kwenye bonanza lenu.Iliwapiga kwenye bonanza lenu
Umetumia kigezo gani kujua hayoHivi kwa nini Yanga ndio wanaoteseka zaidi na haya matokeo kuliko Vipers wenyewe? [emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila mimi sijapenda kabisa [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Vipers sijui wakoje [emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
Huyo Bantu Lady hanaga uzalendo besty bora kumkazia na yeye kesho[emoji23][emoji23] nipo kipenzi hawa vipers mbona wanashambulia hivi naombea dk 45 ziishe haraka
Kesho tutakua pamoja mtani uzalendo kwanza [emoji23]
BandaSakho anatoka anaingia nani sijui huyu