FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

712CF79B-72C2-41F8-8E73-F5E25C35099C.jpeg
 
Nakupa hiyo kazi umchague yeyote umpendae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Taifa Kubwaaa[emoji1306][emoji1306][emoji1306]
Unahustle na Vipers hivi alafu useme mtu atakula goli nyingi? [emoji38][emoji38] Nani huyo? Una uwezo wa kumpiga nyingi Esperance, Wydad, Raja na Mamelodi alafu kwao wasichomoe? [emoji38][emoji38]
 
Next game ya Simba ndio itaamua kama Simba anapita au lah...ni game muhimu mno
Nguvu zote zilizobaki zitaishia hapo, atleast sasa karata imerudi mikononi mwa mnyama ..
 
Unahustle na Vipers hivi alafu useme mtu atakula goli nyingi? [emoji38][emoji38] Nani huyo? Una uwezo wa kumpiga nyingi Esperance, Wydad, Raja na Mamelodi alafu kwao wasichomoe? [emoji38][emoji38]
Chagua yeyote unayempenda hapo[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom