FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Goli alilofunga Dube ilikua ni clear offside ....aliyetoa assist kwa Dube alikua kwenye eneo la kuotea wakati anapokea pasi kabla ya kutoa assist
Hiyo offside inaonekana kwenye TV yako tu
 
Babacar kachuja hapo kati anatakiwa kanote na ngoma tu then toa Fred ingiza Luis then kibu acheze striker ya kuforce
 
Wamweleze Beki Che Malone huku kukoswa koswa kunasababishwa na Yeye kutokuwepo kwenye eneo lake kwa wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…