FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Admin Active Moderator huu uzi ni wa mashabiki wa Simba pekee? Mbona muanzisha thread anaelezea kuhusu Simba pekee? Tafadhali mnapoanzisha nyuzi za updates mjitahidi kubalance pande zote!
 
Pa omary wa njombe na mwenzake ndo mtajua hamjui leo kitakachowakuta
 
Kila la heri chama kubwa Simba Sc...timu bora kabisa ukanda wa Africa Mashariki na kati hilo halina ubishi..na leo tunaenda kuwafunga midomo wenye midomo yao......

Simba Nguvu Moja
 
Kila la heri chama kubwa Simba Sc...timu bora kabisa ukanda wa Africa Mashariki na kati hilo halina ubishi..na leo tunaenda kuwafunga midomo wenye midomo yao......

Simba Nguvu Moja
Hakika WanaSimba tutafurahi
 
Simba Wameiogopa Hii Mechi Hadi Kupeleka Uwanja Wa Kirumba Mwanza.

Simba Hawezi Kutoboa Akipambana Sana Anatoa Sare.

Simba Kaonesha Uoga Mapema Sana Hivyo Hata Kwenye Mechi Ya Leo Hatofanya Maajabu.

FT
Simba 1 - 2 Azam
Uoga una ushahidi wowote??
 
Back
Top Bottom