FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Kwa hii Simba ilivyo mechi za karibuni, sioni ikipata ushindi mbele ya Azam, Azam washindwe wao tu leo.
 
Kwa hii Simba ilivyo mechi za karibuni, sioni ikipata ushindi mbele ya Azam, Azam washindwe wao tu leo.
Una siku nyingi hujatizama game za Simba
 
Admin Active Moderator huu uzi ni wa mashabiki wa Simba pekee? Mbona muanzisha thread anaelezea kuhusu Simba pekee? Tafadhali mnapoanzisha nyuzi za updates mjitahidi kubalance pande zote!
20240209_145838.jpg
 
20240209_145811.jpg

Ndugu Watanzania, Tiketi zote Zimeuzwa Tayari.
 
Halafu simba tabia ya kufungwa fungwa na Simba ikome
 
Back
Top Bottom