FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Simba Wameiogopa Hii Mechi Hadi Kupeleka Uwanja Wa Kirumba Mwanza.

Simba Hawezi Kutoboa Akipambana Sana Anatoa Sare.

Simba Kaonesha Uoga Mapema Sana Hivyo Hata Kwenye Mechi Ya Leo Hatofanya Maajabu.

FT
Simba 1 - 2 Azam
Ili waonekane hawajaiogopa hii mechi, ilitakiwa waipeleke Chamazi (Nyumbani kwa Azam Fc)..?
 
Kikosi kizuri especially Ngoma karudi. Ila sijui wapi Kanute hata bench hayupo.
Hivi kwanini Saidoo asiwe anaanzia benchi hata mara moja moja?
 
Simba Wameiogopa Hii Mechi Hadi Kupeleka Uwanja Wa Kirumba Mwanza.

Simba Hawezi Kutoboa Akipambana Sana Anatoa Sare.

Simba Kaonesha Uoga Mapema Sana Hivyo Hata Kwenye Mechi Ya Leo Hatofanya Maajabu.

FT
Simba 1 - 2 Azam
Mwanza ni Strategic point.

Next Match tunakipiga na Geita.
 
Ili waonekane hawajaiogopa hii mechi, ilitakiwa waipeleke Chamazi (Nyumbani kwa Azam Fc)..?
Itakuwa Simba wametumia akili. Badala ya kutoka Tabora kwenda Dar, then kurudi tena lake zone, wametokea Tabora kwenda Mwanza ambapo ni karibu sana. Na next match ni Geita.

Strategically done.
 
Game charger
 
Majamaa tokea asubuhi wamekata umeme,tutakuwa tunasoma comment na kusikiliza kwenye redio.
 
Back
Top Bottom