FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Huyu Benchika naye ajiangalie
 
TOPU SCOLA na GOLDENI BUTI lazima acheze bhana

Ali sikika mlevi mmoja pale Msimbazi
 
Kweli Saidoo michosho sana kazi kujiangusha na Kila Kona na Faulo anang'ang' ania kupiga .Kiufupi Saidoo mpira upo mwishoni ila hataki kukubaliana na reality
 
Hii ni faida kwetu zaidi, endeleeni kugombea nafasi ya pili ndio size yenu.
Sisi tunaamini kwenye ubora kuliko bahati za sandakarawe pamoja na kubebwa.

Tukifungwa au kusare kihalali tunawapongeza wapinzani maana huo ndio mpira

Mechi yenu na Kagera unajua kilichojiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…