FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Kutaka m cost BENCHIKA ni kung'ang'ania SAIDOO..
Ana juhudi , sawa lakini hana talents za kutosha ..
Faulu wanang'ang'ania yeye, kona yeye...98% hazina impact...
Hata faulu ya goli la CHAMA , ingekuwepo SAIDO ndani angengangania kupiga...

Kama kocha haoni vile
Ulitaka amuwekeee Nani SAS mku
 
Mi kama chogo muda wote nipo ila ukigeuka kwa lengo la kutaka kuniona hunioni
50 cent.gif
 
Nimekuja kugundua Droo Imekua bora kwa Yanga kuliko Azam angepata point 3

kugawana point moja moja kumeifanya yanga ipae mbele kwa point nyingi
Sahihi Kabisa, kama mmojawapo angechukua point 3 ingemjengea presha kubwa sana Yanga maana kila mmoja anammendea mwenzake
 
Back
Top Bottom