Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Wapuuzi kweli kweli...sawa wamepata walichokita...huyo kayoko kama amehongwa basi hafiki nazo mbali...macho makubwa kama kinyonga...Azam mbona tumesema sana kuhusu tabia hii
Kwanza Camera zao mbovu utadhani wanatumia Camera za CCTV
Ukija kwenye replay unakutana na scratch yani ile slow motion inavyo pelekwa pelekwa inaongeza utata zaidi wa tukio kuliko lilivyoonekana wakati wa live