FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Ulipata pressure mkuu
Nilikuwa naangalia mechi online nikiwa zangu nje kando ya barabara nimevaa jezi yangu

Sasa ile tumefungwa tu, mashabiki wa Yanga wakaanza kuni harass kelele kibao amani ikatoweka.

Wakati wa half time ikabidi nirudi home tu.
 
Sijui ngapi kipenzi...ngoja uran au Scars akujibu
Ligi mpaka iishe unakuwa umecheza jumla ya michezo 30

Bado michezo miwili tukamilishe mzunguko wa kwanza (mechi 15)

Maana yake mechi zote tulizozicheza na zingine mbili ambazo bado hatujazicheza. Lazima tutakuja kuzicheza tena kama second leg.

Mechi ya leo ilikuwa ni yetu maana sisi ndio wenyeji, basi mzunguko ujao tutakuwa na mechi hii ila mwenyeji atakuwa Azam.
 
Nilikuwa naangalia mechi online nikiwa zangu nje kando ya barabara nimevaa jezi yangu

Sasa ile tumefungwa tu, mashabiki wa Yanga wakaanza kuni harass kelele kibao amani ikatoweka.

Wakati wa half time ikabidi nirudi home tu.
Hakuna shida
Timu haiko vibaya
 
Ligi mpaka iishe unakuwa umecheza jumla ya michezo 30

Bado michezo miwili tukamilishe mzunguko wa kwanza (mechi 15)

Maana yake mechi zote tulizozicheza na zingine mbili ambazo bado hatujazicheza. Lazima tutakuja kuzicheza tena kama second leg.

Mechi ya leo ilikuwa ni yetu maana sisi ndio wenyeji, basi mzunguko ujao tutakuwa na mechi hii ila mwenyeji atakuwa Azam.
Yote yanawezekana tuu
 
Yani nitakua nafatilia humu mpira kuliko kuangalia camera za Azam...nimeangalia kipindi cha pili ni utopolo mtupu...bora mechi za nje huko...
Acha kusingizia Camera. We ulitegemea Sarr umuone anacheza sawa na Alcantara au Per Jobe umuone kama unavyomuona Haaland? Timu hatuna sisi butua butua FC. Sisi ndio tumecheza hovyo. Mbona jana game ilikuwa Powa?
 
Simba imecheza dhidi ya Azam+Mwiko Nyuma+ Kayoko
 
Azam Tv wangese wangese zenu...sitakaa kuangalia tena Tv lenu..shwaini zenu...haya furahini sasa wapumbavu nyie...hamrudii matukio ya uwanjani yaliyoleta sintofahamu...ww kayoko mpuuuzi mkubwa....
Hahaha kwa Sasa Azam haepukiki ni kama maji
 
Back
Top Bottom