FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Yule dogo aliye vaa jezi namba kumi na sita,aka lie benchi yaani ile krosi ya Sopu alikuwa na nafasi nzuri ya kuicheza au hata kumdisturb,ila kaishia kukabia macho.

Ila Dube naona ana uhakika wakuwafunga kila mkikutana nae.
Lakini hayo ndio matokeo nazuri kwa Yanga. Sare ilikuwa jambo jema zaidi kuliko mmoja wapo kushinda.
 
Hii kauli Shark unajisikiaje nayo sasa..!!?? Dawa ya makolo kutofungwa na Dube, ni kumsajili tu..!!

CC Kalpana Mpemelelo Dume, GENTAMYCINE Mpumelelo Dube, Mshana Jr Mpumelelo Dube, Shark Mpumelelo Dube, uran Mpumelelo Dube, Valentina Mpumelelo Dube, Kitambi chakufutia tachi kufutia Mpumelelo Dube, CHIEF PRIEST Mpumelelo Dube, Robidinyo Mpumelelo Dube, Charles kilian Mpumelelo Dube, Designer_3434 Mpumelelo Dube, Scars Mpumelelo Dube et ell
Utakuwa kinara wa maksudi!!
Hata hii post yako umeipost kwa maksudi tu!! 😂😂
 
Maksudi Mpumelelo Dube..!! 😂 😂 😂
Ligi asipobeba Mnyama basi wanabeba Azam!!
Viwango vya kina Pacome, Max n.k vimefika tamati mapema sana.

Kama umesoma uchumi kidogo utanielewa kuna fact moja inaitwa "Law of Diminishing Marginal return".
 
Kama umesoma Engineering (Electrical) utanielewa kuhusu magnetic induction theories. Wapya watawa-induce wa zamani
 
Nilikua humu kwauzi wahio mechi mpaka 90' Azam walikua wanaongoza 1 simba mmechomoa dakika za nyongeza mlikua hooooooiiiii!
Azam waliwapelekea moto kinoumaaaaaa!
Yaani kuna nafasi za moto 5 Azam wamezikosa..!! Makolo watake wasitake, moto wamepelekewa..!!
 
Kama umesoma Engineering (Electrical) utanielewa kuhusu magnetic induction theories. Wapya watawa-nduce wa zamani
Kama umesoma Biology kidogo kuna fact moja inaitwa "Nature of Evolution."...
Kuchoka au kuzeeka ni inevitable.
 
Nilikua humu kwauzi wahio mechi mpaka 90' Azam walikua wanaongoza 1 simba mmechomoa dakika za nyongeza mlikua hooooooiiiii!
Azam waliwapelekea moto kinoumaaaaaa!
Itakuwa hujui vizuri concept ya "kupelekewa moto"...
Kindly gugo it
 
Back
Top Bottom