Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Dube anapenda sana kuwagegedua simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dube mpira umeishaYule dogo aliye vaa jezi namba kumi na sita,aka lie benchi yaani ile krosi ya Sopu alikuwa na nafasi nzuri ya kuicheza au hata kumdisturb,ila kaishia kukabia macho.
Ila Dube naona ana uhakika wakuwafunga kila mkikutana nae.
Ila kila mkikutana nae anakufunga.Dube mpira umeisha
Na kweli mtafikishwa.Hawezi kutoboa.
Baada ya hii game, harakati ni sisi kukaa kileleni hadi tamati.
Tuna imani na timu yetu.
Iko vizuri sana kwa sasa!!
Ingepigwa 10Simba imecheza dhidi ya Azam+Mwiko Nyuma+ Kayoko
Hii kauli Shark unajisikiaje nayo sasa..!!?? Dawa ya makolo kutofungwa na Dube, ni kumsajili tu..!!Usijisahaulishe kuna Prince Mpumelelo Dube..!!!
Unalazimisha uongo wako uwe kanuni. Hii ni Kwa mujibu wa sheria ipi?Ulinganifu wa point unapimwa kwa idadi sawa za mechi mlizocheza.
Kajifunze na hii
Punguza matusi Mrembo.Wapuuzi kweli kweli...sawa wamepata walichokita...huyo kayoko kama amehongwa basi hafiki nazo mbali...macho makubwa kama kinyonga...
Huyu Dube Sasa ashatufanya sie mwembe wa uwani,Hii kauli Shark unajisikiaje nayo sasa..!!?? Dawa ya makolo kutofungwa na Dube, ni kumsajili tu..!!
CC Kalpana Mpemelelo Dume, GENTAMYCINE Mpumelelo Dube, Mshana Jr Mpumelelo Dube, Shark Mpumelelo Dube, uran Mpumelelo Dube, Valentina Mpumelelo Dube, Kitambi chakufutia tachi kufutia Mpumelelo Dube, CHIEF PRIEST Mpumelelo Dube, Robidinyo Mpumelelo Dube, Charles kilian Mpumelelo Dube, Designer_3434 Mpumelelo Dube, Scars Mpumelelo Dube et ell
Summary ya hao ulio watag ni hiyo kwenye pichaHii kauli Shark unajisikiaje nayo sasa..!!?? Dawa ya makolo kutofungwa na Dube, ni kumsajili tu..!!
CC Kalpana Mpemelelo Dume, GENTAMYCINE Mpumelelo Dube, Mshana Jr Mpumelelo Dube, Shark Mpumelelo Dube, uran Mpumelelo Dube, Valentina Mpumelelo Dube, Kitambi chakufutia tachi kufutia Mpumelelo Dube, CHIEF PRIEST Mpumelelo Dube, Robidinyo Mpumelelo Dube, Charles kilian Mpumelelo Dube, Designer_3434 Mpumelelo Dube, Scars Mpumelelo Dube et ell
Yaani huyu bila kumsajili atawaweka sana tu..!! Na safari fulani alisikika akisema Manula kutopangwa amehuzunishwaHuyu Dube Sasa ashatufanya sie mwembe wa uwani,
Ukijisikia tu hamu unaangua.
Shida hata kama dawa yake ni kumsajili lakini pia Azam sio timu ya kushindana nayo usajili au mchezaji.
H2HUnalazimisha uongo wako uwe kanuni. Hii ni Kwa mujibu wa sheria ipi?
Haya kaka..ila macho makubwa sio matusi bana..na mpuuzi pia sio tusi sanaaaa...Punguza matusi Mrembo.
Huwa anakesha mwezi mzima akijitrain jinsi ya kumfunga Simba...Dube anawapatia Simba tu.
Kimataifa ni 0%
Kuifunga Yanga ni 0%
Mechi za Ligi ni 5%