MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Pa omary wa njombe na mwenzake ndo mtajua hamjui leo kitakachowakuta
Pamoja mkuu uwe unaupdate accordingly...Hakika WanaSimba tutafurahi
Ndoto za alinacha...samaleko mtaniHawa ndugu wakipata sare itapendeza sana LAKINI akifungwa Simba litakuwa jambo jema zaidi
Sisi kama wana Simba kindakindaki tunakupenda mtani....
Pole gongowazi...Lolote baya liwakute Makolo
Uoga una ushahidi wowote??Simba Wameiogopa Hii Mechi Hadi Kupeleka Uwanja Wa Kirumba Mwanza.
Simba Hawezi Kutoboa Akipambana Sana Anatoa Sare.
Simba Kaonesha Uoga Mapema Sana Hivyo Hata Kwenye Mechi Ya Leo Hatofanya Maajabu.
FT
Simba 1 - 2 Azam
Uoga una ushahidi wowote??
One love Mkongoman