permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mchomoe na kuongeza la ushindi ndio nitashangaa, vinginevyo mpate sare yenu ya kijora basi.Dah!! utashangazwa
Hapana, Azam hana pumzi ya kutusumbua mpaka mwisho.Kwa Yanga Fc matokeo ya sare leo ni mazuri zaidi kwetu.
Mtoto wa 2000 huyo 🤣🤣🤣Kibu D kichwa kikubwa il matumizi ya akili hakuna.
Ligi bado.Nini kitatokea Simba wakipoteza mchezo huu
Nasiki wataaga michuano hii na kucheza mfurahisho
Walivaa jezi nyekundu ni Simba usije kua una changanya mamboNaam
Sijui kama tutashinda ama tutatoa sare
Ila kwa mpira huu naona improvement kubwa sana kwenye uchezaji wetu wanasimba
Atleast na imani kwenye mashindano ya kimataifa tunaweza fanya jambo
Naona tunaangalia mpira tofauti kwa kweliWalivaa jezi nyekundu ni Simba usije kua una changanya mambo
Naona kama wana upepo msimu huu, hata magoli wanafunga mengi tofauti na misimu iliyopita.Hapana, Azam hana pumzi ya kutusumbua mpaka mwisho.
Leo ashinde, ndio bora kwetu.