FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

Faul kuelekea lango Simba, sehemu ya hatari sana hii.

sasa hivi kuna chuma cha pili hapa.
 
Nini kitatokea Simba wakipoteza mchezo huu

Nasiki wataaga michuano hii na kucheza mfurahisho
 
Naam

Sijui kama tutashinda ama tutatoa sare

Ila kwa mpira huu naona improvement kubwa sana kwenye uchezaji wetu wanasimba
Atleast na imani kwenye mashindano ya kimataifa tunaweza fanya jambo
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Chama tuokoe baba, twafaaaa
Benchika atuachie timu yetu.
 
Naam

Sijui kama tutashinda ama tutatoa sare

Ila kwa mpira huu naona improvement kubwa sana kwenye uchezaji wetu wanasimba
Atleast na imani kwenye mashindano ya kimataifa tunaweza fanya jambo
Walivaa jezi nyekundu ni Simba usije kua una changanya mambo
 
Ni makosa mazito kumfananisha Chama na Azizi ki, chama anaonekana kwenye game dhidi ya Pamba, Ndanda, Kagera n.k
 
Hakuja juhudi zozote zinazofanywa na Simba ili kurudisha goli walilofungwa.
 
Back
Top Bottom